Nafasi Ya Matangazo

April 24, 2017

 Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mjini wa Nzega baada ya kukagua ujenzi wa Sekondari ya Nzega ndogo jana.
 Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza na wasimamizi wa ujenzi wa barabara ya Ngudu iliyopo Kata ya Ngeza ndogo mkoani Tabora jana.
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza na Daktari wa Zanati ya Zogolo,baada ya kutembelea zanati hiyo juzi wilayani Nzega mkoani Tabora jana.
 Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza na mgonjwa Agnes Nobert aliyekuwa amelazwa katika Zanati ya Zogolo baada ya kutembelea juzi wilayani Nzega mkoani Tabora jana.
 Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akisoma bango alilopewa na waendesha bodaboda.
 Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kata ya Nzega ngodo kabla ya kuwakabidhi gari la wagonjwa jana.
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe(CCM), akikabidhi gari la wagonjwa kwa Mwenyekiti wa Kata ya Nzega ndogo, William Jumanga kwa ajili ya Zahanati ya Zogolo iliyopo wilayani Nzega mkoani Tabora jana.
 Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe(CCM), akisalimia na wananchi wa Kata ya Kitangili wilayani Nzega mkoani Tabora katika mkutano wa hadhara wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika jimbo hilo jana.
 Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe(CCM), akikabidhi gari la wagonjwa kwa Mwenyekiti wa Kata ya Nzega ndogo, William Jumanga kwa ajili ya Zahanati ya Zogolo iliyopo wilayani Nzega mkoani Tabora jana.
 Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, akionyesha gari la wagonjwa alilolikabidhi kwa viongozi wa Kata ya Nzega ndogo kwa ajili ya Zahanati ya Zogolo iliyopo wilayani Nzega mkoani Tabora jana.

Posted by MROKI On Monday, April 24, 2017 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo