Nafasi Ya Matangazo

March 08, 2017

Miss Tanzania 2006 ambaye pia ni Mwigizaji wa Bongo Movie,  Wema Sepetu akizungumza kabla ya kupanda miti katika vyanzo vya maji vya Mbogo na Nukutu  katika milima ya Uluguru, mkoani Morogo leo. Kushoto ni Mbunge wa viti Maalum (Chadema) mkoa huo, Devotha Minja.
 Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Mkoa wa Morogoro, Devotha Minja akizungumza na wakazi wa Mbogo na Nukutu katika safu za milima ya Uluguru Mkoani Morogoro wakati wa upandaji miti.
Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Mkoa wa Morogoro, Devotha Minja akizungumza na wakazi wa Mbogo na Nukutu katika safu za milima ya Uluguru Mkoani Morogoro wakati wa upandaji miti.
Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Mkoa wa Morogoro, Devotha Minja (kulia) na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu (wapili kushoto) wakipanda miti katika maeneo ya vyanzo vya maji  Mbogo na Nukutu katika milima ya Uluguru Mkoani Morogoro wakati wa upandaji miti.
Posted by MROKI On Wednesday, March 08, 2017 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo