Nafasi Ya Matangazo

February 19, 2017

 Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbas akizungumza na Maofisa Habari na Tehama wa mikoa ya kanda ya ziwa wanaoshiriki mafunzo maalum ya wiki moja jijini Mwanza ya uendeshaji tovuti za Halmashauri na Mikoa chini ya Mradi wa Uimarishaji wa mifumo ya sekta za umma nchini (PS3) wenye lengo la kuboresha upatikanaji wa taarifa klwa wananchi./Picha zote na Mroki Mroki-TSN Digital Mwanza.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbas akizungumza na Maofisa Habari na Tehama wa mikoa ya kanda ya ziwa wanaoshiriki mafunzo maalum ya wiki moja jijini Mwanza ya uendeshaji tovuti za Halmashauri na Mikoa chini ya Mradi wa Uimarishaji wa mifumo ya sekta za umma nchini (PS3) wenye lengo la kuboresha upatikanaji wa taarifa klwa wananchi.
  
 Washiriki wa Mafunzo hayo ambao ni Maofisa habari na Tehama kutoka katika Halmashauri na Mikoa ya Kanda ziwa wakiendelea na mafunzo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbas akiangalia na kupewa maelezo na Maofisa Habari na Tehama wa mikoa ya kanda ya ziwa namna ambavyo mafunzo yamewasaidia na kuweza kufungua tovuti na kupandisha taarifa.
 Washiriki pia walipata fursa ya kuuliza maswali na kueleza changamoto wanazokabiliana nazo kutoka kwa watendaji wa serikali katika upatikanaji wa taarifa mbalimbali na shughuli za serikali.
Posted by MROKI On Sunday, February 19, 2017 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo