Nafasi Ya Matangazo

February 03, 2017

 Mwenyekiti wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu akiongoza vikao vya Bunge mjini Dodoma hii leo ambapo Bunge leo baada ya kipindi cha maswali na Majibu hapo asubuhi, Bunge lilipokea taarifa ya shughuli za Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kwa mwaka 2016/2017.
 Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara akichangia taarifa ya shughuli za Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kwa mwaka 2016/2017.
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kingwangala akijibu maswali yaliyoelekezwa katika Wizara yake hii leo.
Wabunge wakifuatilia mjadala huo wa Bunge.
 Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Iringa wakiwa Bungeni kwa ziara ya kimafunzo. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.

 Bungeni
 Madiwani wa UKAWA kutoka Dar es Salaam ambao ni Mameya na Manaibu Meya wa Manispaa za Ubungo na Ilala wakiwa Bungeni leo.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Uawala bora, Angela Kairukiakijibu maswali Bungeni leo 
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akisalimiana na Mbunge wa Chemba, Juma Nkamia Bungeni Mjini Dodoma hii leo.
Mbunge wa Viti Maalum Zanzibar, Faida Mohamed Bakar akiuliza Swali.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma leo.
 Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba akiteta na Mbunge wa Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda Bungeni Mjini Dodoma leo.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (kushoto) akizungumza na NaibuWaziri Anthony Mavunde. 
 Wabunge wakiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo
 Wabunge wakiingia Bungeni mjini Dodoma
 Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah (katikati) akizungumza na wabunge nje ya ukumbi wa Bunge leo.
 Mbunge wa Mvomero, Suleiman Saddiq Murad akiwa na Mbunge wa Viti Maalum, Dar es Salaam, Lucy Magereli nje ya Ukumbu wa Bunge Dodoma leo.
Wabunge wakibadiliashana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
Posted by MROKI On Friday, February 03, 2017 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo