Nafasi Ya Matangazo

February 03, 2017

Meneja wa DAWASCO Mkoa wa Kinondoni Judith Singinika (Aliyesimama) akiwa na fundi kutoka DAWASCO wakibadilisha mita chakavu  na kuweka mita mpya ya Maji katika maeneo ya Barabara ya Dunga Mtaa wa Isere, Kinondoni jijini Dar es Salaam.Meneja wa DAWASCO Mkoa wa Ilala Christian Kaoneka (kushoto) pamoja na fundi kutoka DAWASCO wakibadilisha mita ya Maji chakavu ya mteja kutoka maneneo ya Mtaa wa Jamhuri jijini Dar es Salaam ikiwa ni katika mwendelezo wa Zoezi la ubadilishaji wa mita za Maji chakavu zote kwa jiji la Dar es Salaam na Miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani wa Pwani.
Posted by MROKI On Friday, February 03, 2017 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo