Nafasi Ya Matangazo

January 25, 2017

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa kiwanda cha chai cha Lupembe, Mussa Kefa   (kushoto kwake) wakati alipotembelea kiwanda hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Januari 25, 2017. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo wakati alipowasili kwenye kiwanda cha chai cha Lupembe kukagua kiwanda na kuzungumza na wafanyakazi  akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Januari 25, 2017. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha chai cha Lupembe akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Januari 25, 2017.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma  kutoka kijiji cha Kanitelele mkoani Njombe  ikicheza ngoma ya Limdoya wakati alipowasili kwenye kiwanda cha chai cha Lupembe  akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Januari 25, 2017.  Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka.
 Wasanii  kutoka kijiji cha  Kanitelele mkoani Njombe wakicheza ngoma  ya Limdoya wakati  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa   alipowasili kwenye kiwanda cha chai cha Lupembe  kukagua kiwanda na kuzungumza na wanyakazi  Januari 25, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Posted by MROKI On Wednesday, January 25, 2017 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo