Nafasi Ya Matangazo

November 27, 2016

Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Antonhy Mavunde Leo ameongoza Vikundi vya Jogging Mkoa wa Dar es Salaam katika Kuzindua Kampeni ya Kulinda na Kudumisha Amani nchini. 

Vikundi hivyo vilianza Mbio vikiongozwa na Mh.Mavunde Maeneo ya Mliman Cty Mpaka Leaders Club. Pia Wana Jogging Club wametuma Salamu za Pongezi kwa Mh.Rais Dkt.John Magufuli Kwa Mwaka Mmoja wa Madaraka yake ambayo yamekuwa na Tija katika Maendeleo ya Taifa letu wanamuombea heri zaidi
 Naibu Waziri Mavunde akizungumza

Posted by MROKI On Sunday, November 27, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo