Nafasi Ya Matangazo

October 30, 2016

Mkuu wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kanali Martin Mkisi,akimuelezea Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba, uharibifu mkubwa wa msitu unaofanywa na wakulima na wafugaji ktk hifashi ya Taifa Makere ya Kusini Wilayani Kasulu Kigoma.
Mkuu wa Oxfam Jimmy akitoa maelezo ya namna mtambo wa maji unaosukumwa na nguvu ya jua( solar) unavyosambaza maji ktk kambi ya wakimbizi Nyarugusu.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba,z
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba, akiendelea nanziara.
Katika ziara hiyo Waziri, Makamba  ametembelea Kambi ya wakimbizi Nyarugusu kujionea uharibifu wa Mazingira unaosababishwa na ujio wa wakimbizi.

Pia ametembelea Hifadhi ya Msitu wa taifa Makere kusini na kujionea uharibifu mkubwa wa mazingira unaofanywa na wakulima wa kuhamahama na wafugaji. 

Aidha, amepongeza juhudi za mamlaka ya wilaya za kuwaondoa wakulima, wafugaji na wachoma chokaa. 

Ameagiza juhudi hizo ziendelezwe huku akisisitiza wanasiasa kuwa wakweli ktk umuhimu wa mazingira kwa vizazi vijavyo.vv
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba, akiagana na mwenyeji wake Mkuu wa Wilata ya Kasulu, Kanali Martin Mkisi.
Posted by MROKI On Sunday, October 30, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo