Nafasi Ya Matangazo

October 25, 2016

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akizungumza leo katika mkutano

watendaji wa Vijiji na Kata Wilaya ya Rungwe
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla amewataka watendaji wa Vijiji na kata kusimamia sheria za mazingira kulinda vyanzo vya Maji 
  Hayo ameyasema Leo kwenye mkutano na watendaji wa Vijiji na kata wilaya ya Rungwe na kusisitiza kuwa uharibifu wa mazingira na uchafuzi ktk vyanzo vya Maji vitendo hivi vinafanyika maeneo yao hivyo ni Muhimu wao kutoa Elimu ya utunzaji mazingira na kusimamia sheria ya mazingira na kutunza vyanzo vya Maji 
  Amesema wananchi wasipo elimishwa athari za uharibifu wa mazingira na kutoa imeamua sheria basi ni dhahiri Mkoa wa Mbeya utakuwa jangwa na vyanzo vya Maji vitatoeka hivyo ni wajibu kila kiongozi na mtendaji kuchukua hatua.
Posted by MROKI On Tuesday, October 25, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo