Nafasi Ya Matangazo

August 04, 2016


Meneja wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) Mkoa wa Tanzania Bw. Fuad Abdallah akitoa maelezo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kuhusu uharibifu wa Daraja la Reli ya TAZARA eneo la Mbalizi Mkaoni Mbeya kutokana na shughuli za kibinadamu, alipotembelea daraja hilo leo.


Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akikagua mashine ya kichwa kimojawapo cha treni wakati alipokagua ukarabati wa vichwa hivyo katika karakana ya Mbeya.



Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiendelea na ukaguzi wa karakana ya Mbeya.



Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akisalimiana na mmoja wa abiria wakati alipokagua huduma za Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA).



Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiongea na wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (TAZARA), (hawapo pichani) wakati alipotembelea ofisi za Mamlaka hiyo Mkoani Mbeya.



Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (hayupo pichani), wakati alipozungumza nao, Mkoani Mbeya.



Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akisikiliza maoni kutoka kwa wakazi wa Lyunga, Mbeya mara baada ya kumaliza kuongea na wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) Mkoani Mbeya.
Posted by MROKI On Thursday, August 04, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo