Nafasi Ya Matangazo

August 18, 2016


Mkurugenzi wa kitengo cha Raslimali watu wa kampuni ya SABMiller kanda ya Afrika,Lucia Swartz, yuko nchini kwa ziara ya kikazi ambapo  amekutana na wafanyakazi wa kampuni ya TBL Group ambayo ni kampuni tanzu ya kampuni hiyo.


Lucia Swartz amekutana na wafanyakazi katika hoteli ya Holiday Inn iliyopo jijini Dar es Salaam ambapo pia alipata fursa ya kufahamiana nao na kubadilishana mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali ya kuboresha ustawi wa wafanyakazi ambapo pia walipata fursa ya kuuliza masuala mbalimbali yanayohusiana na utawala na utendaji wa kazi zaokila siku. 
 Mfanyakazi akiuliza swali wakati wa mkutano huo.

 Mkurugenzi wa Raslimali watu wa TBL Group akiongea wakati wa mkutano huo
 Wafanyakazi wakimsikiliza Mkurugenzi wa kitengo cha Raslimali watu wa kampuni ya SABMiller kanda ya Afrika,Lucia Swartz
Mkurugenzi wa kitengo cha Raslimali watu wa kampuni ya SABMiller kanda ya Afrika,Lucia Swartz, akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi.
Posted by MROKI On Thursday, August 18, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo