Nafasi Ya Matangazo

August 27, 2016

 Bi Harusi Mtarajiwa Eva Mwambe akiwa katika pozi la picha wakati akijiandaa kwenda katika tafrija yake maalum iliyoandaliwa na familia yake kwaajili ya kutakia heri katika maisha mapya anayokwenda kuyaanza, maisha ya ndoa. Tafrija hii ilifanyika Kinondoni, Jijini Dar es Salaam. Photo Production: MD Digital Company; +255 717 002 303/+255 755 373 999
 Bi Eva akijiandaa kufungua mvinyo kwaajili ya kupongezana na wanafamilia ndugu jamaa na marafiki
 Eva akimiminiwa mvinyo na mmoja wa rafiki zake.
 Ndugu jamaa na marfiki wakiwa katika tafrija hiyo.
 Mama mzazi wa Eva akigonganisha glass na binti yake. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI.
 Marafiki, mawifi, ndugu jamaa na marafiki wa Eva wakigonganisha glass kumtakia heri katika safari yake. Picha hii ni mdogo wake, Sophia Mwambe akimpongeza dada yake.
 Eva akikabidhi zawadi ya keki kwa mawifi zake.
 Eva akimpa keki mama yake.
 Utambulisho nao ulifanyika wa wafanyakzi wenzake na Eva
 Wacha weeeeeeeeeeee ni kuselebuka tu.
 Mambo ya maakuli haya
 Mambo ya selfie na marafiki nayo yalikuwepo
 kapu la mama lilitolewa pia kwa biharusi mtarajiwa.
 Eva akipiga picha na wanafamilia...
 Eva na mama yake kipenzi...
 Eva akiwa na wifi  zake
 Eva akiwa na mdogo wake Sofia
 Eva akiwa na rafiki zake na wafanyakazi wenzake wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, hususan kutoka Bandari ya Dar es Salaam.
 Mawifi wakimpongeza mama mzaa chema
 "Asante mama kwa malezi yako..." ndivyo kama Eva anasema kwa mama yake
 Huu ndio uzao wa tumbo la mama Mwambe .
Posted by MROKI On Saturday, August 27, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo