Nafasi Ya Matangazo

May 20, 2016

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Chuo Kikuu cha Agha Khan, Ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Mai 19, 2016. Kutoka kushoto ni  Al - Karim Haji, Firoz Rasul, Joel Lugallo na Amin Kurji.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Elimu, Sayansi na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako (wapili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chuo Kikuu cha Agha Khan baada yamazungumzo yao  ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2016.  Wengine pichani kutoka  kushoto ni Al - Karim Haji , Firoz Rasul, Amin Kurjina Joel Lugallo.
Posted by MROKI On Friday, May 20, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo