Nafasi Ya Matangazo

May 08, 2016

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla wakati wa Uzinduzi wa mashindano ya UMISETA ambayo mwaka huu yamedhaminiwa na kampuni ya Coca Cola.Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa Sokoine mjini Mbeya juzi.
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akisalimia moja ya timu wakati wa Uzinduzi wa mashindano ya UMISETA ambayo mwaka huu yamedhaminiwa na kampuni ya Coca Cola.Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa Sokoine mjini Mbeya juzi.
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akihutubia wadau wa michezo na wanafunzi wakati wa Uzinduzi wa mashindano ua UMISETA ambayo mwaka huu yamedhaminiwa na kampuni ya Coca Cola.Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa Sokoine ambapo kulifanyika michezo mbalimbali na burudani za kila aina zilikuwepo.
 Mkuu wa Kitengo cha Masoko Coca Cola  tawi la Mbeya, Julias Ayebare akitoa taarifa ya ufadhili wa  Coca Cola  kwenye mashindano hayo
Mratibu Michezo kutoka TAMISEMI, Idara ya Elimu nchini, Salum Mkuya
 Mashabiki wakishangilia 
Posted by MROKI On Sunday, May 08, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo