Nafasi Ya Matangazo

May 03, 2016

Meneja Mikakati wa TBL Group,Magabe Maasa akimkabidhi  Tuzo ya mshindi wa kwanza Emmanuel Kitomari wa  kituo cha TV 1 na KF Film (kulia) baada ya kuibuka mshindi katika uandishi wa habari za Kilimo kwa upande wa TV, wakati wa  hafla ya utoaji wa tuzo za umahiri za Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) zilizofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam,
Meneja Mahusiano wa Mambo ya Nje wa TBL,Emma Oriyo (kushoto) akimkabidhi Tuzo na cheti mwandishi wa gazeti la Citizen Sauli Giliard mara baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwa uandishi wa habari za Mazingira.Katika hafla ya utoaji wa tuzo za umahiri za uandishi wa habari Tanzania (EJAT) zilizofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. TBL walikuwa moja wa  wadhamini wa Hafla hiyo.
Meneja Mahusiano wa Mambo ya Nje wa TBL,Emma Oriyo (kushoto) akimkabidhi  Shija Felician cheti cha  uandishi wa habari za Mazingira.Katika hafla ya utoaji wa tuzo za umahiri za uandishi wa habari Tanzania (EJAT) zilizofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. TBL walikuwa wadhamini wa Hafla hiyo.
Meneja Mahusiano wa Mambo ya Nje wa TBL,Emma Oriyo (kushoto) akimkabidhi  cheti mwandishi wa gazeti la The Guardian Lusekelo Philimon, mara baada ya kuibuka mshindi katika uandishi  wa habari za Mazingira upande wa magazeti.Wakati wa hafla ya utoaji  tuzo za umahiri za uandishi wa habari Tanzania (EJAT) zilizofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. TBL walikuwa mmoja wa wadhamini.
 Baadhi ya wahudumu wakitoa huduma ya kinywaji cha Chibuku, Wakati wa hafla hiyo
Mhudumu akitoa huduma ya kinywaji cha Chibuku, katika meza ya Balozi wa Japan nchini Masaki Okada.
Baadhi ya wahudumu wakitoa huduma ya kinywaji cha Chibuku, Wakati wa hafla hiyo
Posted by MROKI On Tuesday, May 03, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo