Nafasi Ya Matangazo

May 10, 2016

Ankal Issa Michuzi anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Maggid Muhidin kilichotokea jana Jumapili huko Durban, Afrika Kusini, alikokuwa masomoni.

Msiba upo Nyumbani kwa Mama Mzazi wa Marehemu, Tegeta Wazo Hill, jijini Dar es salaam  na taratibu zote zinafanyika huko.  

Mipango ya kuusafirisha Mwili wa Marehemu kutoka nchini Afrika Kusini na kuja nyumbani kwa mazishi, inafanyika na taratibu za  mazishi zitatolewa mara tu baada ya mwili kuwasili nchini.

Habari ziwafikie ndugu, jamaa, majirani na marafiki popote pale walipo.

Innalillah wa Inna Ilayhi Raajiun
Posted by MROKI On Tuesday, May 10, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo