Nafasi Ya Matangazo

May 16, 2016

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akikabirishwa na Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martin Shigella, baada ya kuwasili kwenye Ofisi wa mkuu wa mkoa huyo, kuwasilisha kero za Wananchi, baada ya kuzungumza na wanachama wa CCM shina namba kumi, tawi la CCM Usagara Mashariki, akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama wilaya ya Tanga mjini leo.
 Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigella akimpeleka Ofisini kwake, Luhwavi. Kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Tanga, Shija Othman.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akiwasili ndani ya Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Rajab Luhwavi akisaini kitabu cha Wagemi katika Ofsi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga baada ya kuwasili na ujumbe wake katika ofisi hiyo leo. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela
 Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigela akifurahi baada ya kukabidhiwa risara yeneye kero za wananchi na wanachamawa CCM Shina namba kumi, tawi la CCM Usagara Mashariki, na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi
 LUhwavi akiwa na Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigela kabla ya kuondoka.
 Luhwavi akiagana na Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigela kabla ya kuondoka
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela kabla ya kuondoka Tanga, kwenda mkoani Kilimanjaroleo
  Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akimuaga Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela kabla ya kuondoka Tanga, kwenda mkoani Kilimanjaroleo.  PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO. Picha nyingine za Luhwavi kutembelea shina namba tisa Kitongoji cha Reli Chini wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro leo:>BOFYA HAPA
Posted by MROKI On Monday, May 16, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo