Nafasi Ya Matangazo

May 16, 2016

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajabu Luhwavi akisalimiana na Mwenyekiti wa Kata ya Usagara Mashariki, Ramadhani Makange, alipowasili kwenye Shina namba kumi, Tawi la Usagara Mashariki mkoani Tanga, kusikiliza kero za wananchi na wachama wa CCM katika shina hilo leo
 Wanachama wa CCM Shina namba kumi, tawi la CCM Usagara Mashariki wakimshangilia Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alipowasili kwenye shina hilo wilaya ya Tanga mjini, leo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akiwa na Mwenyekiti wa Shina namba kumi, tawi la CCM la Usagara Mashariki wilaya ya Tanga mjini, Abubakar Manyoka (kulia) na  Mwenyekiti wa CCM Kata ya Usagara Mashariki Ramadhani Makange (kushot), alipowasili kwenye shina hilo leo kusikiliza kero za wanachama akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama wilaya ya Tanga mjini. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.

 Baadhi ya wanachama wa shina namba kumi tawi la CCM Usagara Mashariki wilaya ya Tanga mjini, wakiwa tayari kumsikiliza naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi 
Mwenyekiti wa Shina namba kumi, tawi la CCM, Usagara Mashariki, Abubakari Manyoka akifungua kikao cha tawi hilo, kabla ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi kuzungumza na wanachama wa tawi hilo, lililopo wilaya ya Tanga Mjini leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Usagara Mashariki Ramadhani Makange
 Mwenyekiti wa shina namba kumi, tawi la CCM, Usagara Mashariki, Abubakar Manyoka, akimkabidhi taarifa iliyosheheni kero zinazowahusu wanachama wa shina hilo, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi, leo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akizungumza na wanachama wa CCM shina namba kumi, tawi la CCM Usagara Mashariki wilaya ya Tanga Mjini leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Usagara Mashariki Ramadhani Makange na kulia ni Mwenyekiti wa CCM shina namba kumi, tawi la CCM Usagara Mashariki wilaya ya Tanga Mjini Abubakar Manyoka

 Wanachama wa shina namba kumi, Tawi la CCM Usagara Mashariki, wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, rajab Luhwavi alipozungumza nao kusikiliza akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama katika wilaya ya Tanga Mjini, leo. 
 Mmoja wa wanachama wa CCM shina namba kumi, tawi la CCM Usagara Mashariki wilaya ya Tanga mjini, akitoa dukuduku na kero zinazowakabili wanachama wa CCM wa shina hilo, Naibu Katibu Mkuu wa CCM -Bara Rajab Luhwavi alipozungumza na wanachama wa tawi hilo leo
 Mkuu wa kitengo cha Utafiti na Mafunzo ya Chama katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Frank Uhahula akieleza namna ya kupata ufumbuzi wa baadhi ya changamoto ambazo wanachama wa shina namba kumi tawi la CCM Usagara Mashariki, walimweleza Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi alipozungumza nao leo akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama katika wilaya ya Tanga Mjini.

 Diwani wa Kata ya Usagara Mashariki Carlos Hiza, akimwambia Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajabu Luhwavi kero zinazowakabili wananchi, alipozungumzana wanachama wa CCM Shina namba kumi, tawi la CCM la Usagara Mashariki katika kata hiyo akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama katika wilaya ya Tanga mjini leo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Baa, Rajab Luhwavi akiongozana na baadhi ya wanachama wa CCM shina namba kumi tawi la CCM Usagara Mashariki, kwenda kushiriki msiba wa Mama wa  mmoja wa wanachama wa CCM anayeishi katika eneo la shina hilo, Mwalimu Tajiri, baada ya kuzungumza na wanachama wa CCM wa shina hilo leo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akishiriki kubeba jeneza lenye mwili wa Mama wa mmoja wa wanachama wa CCM shina namba kumu tawi la Usagara Mashariki wilaya ya Tanga mjini, Mwalimu Tajiri, wakati wa kwenda mazikoni leo.
 Mmoja wa wanachama wa CCM kutoka shina namba kumi, tawi la CCM Usagara Mashariki wilaya ya Tanga mjini Mwalimu Tajiri akifarijiwa wakati wa msafara wa kwenda mazikoni kuzikwa mama yake mzazi leo
Posted by MROKI On Monday, May 16, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo