Nafasi Ya Matangazo

May 12, 2016

 Warembo wanaoshiriki shindano la kumsaka malkia wa Kitongoji cha Dar City Centre 2016 'Miss Dar City Centre 2016' wakiwa katika mkutabno na wajumbe wa Kamati ya Miss Tanzania waliowatembelea katika kambi yao ya mazoezi Makumbusho jijini Dar es Salaam.
Warembo wanaoshiriki shindano la kumsaka malkia wa Kitongoji cha Dar City Centre 2016 'Miss Dar City Centre 2016' wakijitambulisha mbele ya Kamati ya Miss Tanzania waliowatembelea katika kambi yao ya mazoezi Makumbusho jijini Dar es Salaam.
 Viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania wakiwa katika mkutano huo 
 Warembo wanaoshiriki shindano la kumsaka malkia wa Kitongoji cha Dar City Centre 2016 'Miss Dar City Centre 2016' wakiuliza maswali kwa wajumbe wa Kamati ya Miss Tanzania waliowatembelea katika kambi yao ya mazoezi Makumbusho jijini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Thursday, May 12, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo