Nafasi Ya Matangazo

May 25, 2016

Mkurugenzi wa Gazeti la Jambo Leo, Theophil Makunga (kushoto) akimkaribisha Mohamed Omari wakati alipofika katika ofisi hiyo Dar es Salaam leo 
 Mkurugenzi wa Gazeti la Jambo Leo, Theophil Makunga kulia akizungumza jambo wakati wa hafla fupi kabla ya kukabidhiwa Tuzo,  Mohamed Omari ya uuzaji wa nakala nyigi kwa Mwezi wa Aprili 2016 
 Mhariri Mtendaji wa gazeti la Jambo Leo linalomilikiwa na Kampuni ya Quality Media Group, Anicetus Mwesa (wa nne kushoto) akimkabidhi zawadi maalumu, wakala wa magazeti, Mohamed Omari baada ya kufanikiwa kuuza nakala nyingi zaidi kwa mwezi Aprili. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mohamed Omari wa tatu kushoto na mwenzake Fikirini Shabani wa tatu kulia, wakiliangalia Gazeti la Jambo Leo mara  baada ya kuibuka mshindi kwa kuuza kopi nyingi kwa Mwezi wa Aprili 2016 .
Posted by MROKI On Wednesday, May 25, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo