Nafasi Ya Matangazo

April 12, 2016

Mke  wa  Waziri Mkuu, Mary Majalaiwa akizungumza baada ya kukabidhi msaada wa shuka kwa wazazi wanaosubiri kujifungua na waliojifungua kwenye hospitali ya wilaya ya  Ruangwa  Aprili 11, 2016.  Kushoto ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa Lindi, Mzee Mtopa.
Waziri Mkuu, Kassim Majalaiwa akizungumza  na  Madaktari, Wauguzi na watumishi wa hospitali ya wilaya ya  Ruangwa  Aprili 11, 2016.  Kushoto ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa Lindi, Mzee Mtopa. 
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitembelea soko  kuu la mji wa Ruangwa  kukagua hali ya chakula na bei zake Aprili  11, 2016. Alikuwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na  mabingwa wa soka wa mkoa wa Lindi , timu ya   Namungo FC ya Ruangwa baada ya kukabidhiwa kombe  la ubingwa huo na kuzungumza nao kwenye uwanja wa michezo wa Ruangwa akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi, Aprili 11, 2016. 
 Wanawake  wa  Ruangwa wakimshangilia Waziri Mkuu,   Kassim Majaliwa wakti alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Chama cha Walimu mjini Ruangwa Aprili 11, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiagana na wanwake  wa Ruangwa  baada ya kuzungumza nao kwenye  ukumbi wa  Chama cha Walimu  mjini Ruangwa  Aprili  11, 2016.
Posted by MROKI On Tuesday, April 12, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo