Nafasi Ya Matangazo

April 17, 2016

WANYANGE wanaowania taji la Miss Ukonga 2016 wakiwa katika pichja ya pamoja jana wakati wa kambi yao ya mazozezi yanayofanyika katika Ukumbi wa Hilltech Ukonga Banana jijini Dar es Salaam. Jumya ya warembo 11 kati ya 20 wameshaanza mazoezi ya kuwania taji hilo. 

Shindano la Miss Tanzania 2016 lilizinduliwa hivi Karibuni na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye na kuwahakikishia wadau wa sanaa hiyo ya urembo kuto kuwa na shaka katika mashindano hayo kwani Wizara yake itasimamia ipasavyo na wananchi wasahau yaliyopita.
  WANYANGE wanaowania taji la Miss Ukonga 2016 wakiwa katika pichja ya pamoja jana wakati wa kambi yao ya mazozezi yanayofanyika katika Ukumbi wa Hilltech Ukonga Banana jijini Dar es Salaam. Jumya ya warembo 11 kati ya 20 wameshaanza mazoezi ya kuwania taji hilo. 
 Winfrida Losin 21
 Munira Magina 21
 Melody Tryphone 21
 Lucy Lusaku 23
 
 Laylat Yunus 20
 Flora Fredy 23
 Julieth Pallangyo 20
Agripina Yelezwa 23 
Fatma Lema  21
 Moza Hery 20
Macrina Kudema 20
Posted by MROKI On Sunday, April 17, 2016 1 comment

1 comment:

  1. AnonymousMay 24, 2016

    tatizo nywele feki zimetapakaa....girls cant be yourself?

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo