Nafasi Ya Matangazo

April 05, 2016

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni TBL Group, Roberto Jarrin  akiongea na wafanyakazi    wakati wa hafla ya  utoaji wa tuzo ya  kutambua  mchango wa wafanyakazi kwa kampuni ijulikanayo kama  You Make a Difference Award.Hafla hiyo ilifanyika jana katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller Africa, Mark  Bowman akiongea na wafanyakazi  na TBL Group   wakati wa  hafla ya  utoaji wa tuzo ya  kutambua  mchango wa wafanyakazi kwa kampuni ijulikanayo kama  You Make a Difference Award.Hafla hiyo ilifanyika jana katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar Es Salaam
 Baadhi ya wafanyakazi na Viongozi wa TBL Group pia walihudhuria katika hafla hiyo 
Mkurugenzi Mkuu wa TBL GROUP ,Roberto Jarrin ( kushoto) akimkabidhi  Raphody Mwakajinga kikombe cha ushindi kwa idara yao kufanya vizuri wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin (wa pili kushoto) na  Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller  kanda ya Afrika, Mark  Bowman ( kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo ya  kutambua  mchango wa wafanyakazi kwa kampuni ijulikanayo kama  You Make a Difference Award.Hafla hiyo ilifanyika jana katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin (kushoto) akimkabidhi  Afisa Masoko wa kampuni ya Bia Tanzania  Foibe chome,  cheti cha   tuzo ya kutambua mchango wake kwa kampuni ya wakati wa hafla iliyofanyika  jana  jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia Kulia ni  Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller kanda ya Afrika , Mark  Bowman.
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin (kushoto) akimkabidhi  Unice Malle  cheti cha  tuzo ya kutambua mchango wake kwa kampuni ya  wakati wa hafla iliyofanyika  jana  jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia Kulia ni  Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller kanda ya Afrika , Mark  Bowman.
Mkurugenzi Mkuu wa TBL GROUP ,Roberto Jarrin ( kushoto) na  Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller  Africa, Mark  Bowman ( kulia) wakibadilishana mawazo wakati wa hafla ya kuwatunuku wafanyakazi tuzo ya kutambua mchango wao kwa kampuni .  Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana
 Washindi wa kwanza wa  Tuzo ya  wafanyakazi  ya  You Make a Difference wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi na Viongozi wa TBL Group pia walihudhuria katika hafla hiyo 
Posted by MROKI On Tuesday, April 05, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo