Nafasi Ya Matangazo

April 20, 2016

Mkuu wa wilaya ya Arusha,Fadhili Nkurlu akifungua maonesho ya kimataifa ya madini ya Arusha Gem Fair kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Felix Ntibenda leo katika hoteli ya Mount Meru .
Madini aina ya Tanzanite 
Kaimu Kamishna wa Madini nchini,Mhandisi Ally Samaje akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo,alisistiza nia ya serikali kupambana na utoroshwaji wa madini nje ya nchi.
Madini ya aina mbalimbali ambayo  yanayooneshwa kwaajili ya kutafutiwa soko.
Mwenyekiti wa kamati ya Arusha Gem Fair,Peter Pereira akitoa neno la utanguliza wakati wa ufunguzi wa maonesho ya madini yanayohudhuriwa na waoneshaji na wanunuzi zaidi ya 400 kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Nishati na Madini wakiwa kwenye maonesho ya madini jijini Arusha.
Wadau wa sekta ya madini wakimsikiliza Mkuu wa wilaya.
Wadau wa sekta ya madini wakimsikiliza Mkuu wa wilaya.
Wanunuzi wa madini wakiangalia aina mbalimbali za madini kabla ya kununua.

Mkurugenzi wa kampuni ya Ruvu Gemstone Mining Company Limited,Dimitris Mantheakis(kushoto)akiwa na wateja wanaongalia aina za madini.
Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com,Arusha
Posted by MROKI On Wednesday, April 20, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo