Nafasi Ya Matangazo

April 07, 2016

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, akijiandaa kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Muasisi ASP Hayati Sheikh Abeid Amani Karume wakati wa Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Muasisi huyo inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo April 07, Kisiwandui Zanzibar, ambapo  Makamu wa Rais amemusakilisha Rais John Magufuli.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Muasisi wa ASP Hayati Sheikh Abeid Amani Karume wakati wa Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Muasisi huyo inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo April 07, Kisiwandui Zanzibar.
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan wa pili kulia, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kulia na Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Dua ya pamoja mbele ya Kaburi la Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Muasisi ASP Hayati Sheikh Abeid Amani Karume wakati wa Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Muasisi huyo  inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo April 07, Kisiwandui Zanzibar,Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais John Magufuli.
 Makamu wa Rais,  Samia Suluhu Hassan wa pili kulia Mama Mwanamwema Shein kulia Mama Asha Ali Iddi wa pili kushoto na Mama Zakia Bilal kushoto, wakiwa katika Dua ya pamoja kwa ajili ya kumuombea Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Muasisi ASP Hayati Sheikh Abeid Amani Karume wakati wa Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Muasisi huyo  inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo April 07, Kisiwandui Zanzibar, Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais John Magufuli.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa katika Dua ya pamoja na Viongozi mbalimbali na Wananchi wa Bara na Visiwani katika Dua ya pamoja kwa ajili ya kumuombea Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Muasisi ASP Hayati Sheikh Abeid Amani Karume wakati wa Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Muasisi huyo  inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo April 07, Kisiwandui Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume akizungumza jambo na Makamu wa Rais, Samia Suhuhu Hassan baada ya dua ya kumuombea Muasisi na Mwanamapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani
Posted by MROKI On Thursday, April 07, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo