Nafasi Ya Matangazo

April 25, 2016

KINA CHA MAJI KWENYE DARAJA JIPYA LINALOJENGWA
  1. WAKALA WA BARABARA TANZANIA (TANROADS), INAPENDA KUTOA TAARIFA KWA  UMMA NA WATUMIAJI WA  BARABARA YA BAGAMOYO – MAKOFIA - MSATA KWAMBA BARABARA HII IMEFUNGWA. HII NI KUTOKANA NA MAFURIKO YALIYOSABABISHWA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA NCHINI.  BONDE LA MTO ENEO LA RUVU CHINI LIMEFURIKA.

  1.  MATENGENEZO YA ENEO LA BARABARA LILOATHIRIKA NA MAFURIKO YATAANZA MARA MOJA BAADA YA MAFURIKO KUPUNGUA

  1. WASAFIRISHAJI NA WANANCHI WANASHAURIWA KUTUMIA BARABARA YA  DAR ES SALAAM – CHALINZE - MOROGORO KATIKA  KIPINDI HIKI.

  1.  TUNAPENDA KUOMBA USHIRIKIANO WA WASAFIRISHAJI NA UMMA KWA UJUMLA KATIKA KIPINDI HIKI ILI KUZUIA MADHARA YANAYOWEZA KUJITOKEZA.


  1. TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA.

IMETOLEWA NA,
AFISA MTENDAJI MKUU – WAKALA WA BARABARA
P.O Box 11364
3rd Floor
Airtel  Building
Ali Hassan Mwinyi/ Kawawa Roads Junction
Dar es Salaam
Posted by MROKI On Monday, April 25, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo