Nafasi Ya Matangazo

April 06, 2016

Boys boys ni kipindi kinachorushwa na Tv1 Tanzania kinachokutanisha wanaume na kuzungumza mambo mbali mbali kama mahusiano, elimu, afya,uchumi  biashara na mengine mengi. Mbali na hayo unapata fursa ya kuonamagari makali , sehemu nzuri za wanaume kupata kinywaji na kupumzika bilakusahau gadgets kali kabisa.

Ujuzi na elimu yake kuboresha na kupanua ufanisi wake katika taaluma ya Mtangazajibwa season ya tano atakuwa ni Daniel kijo ambaye ameweza kutumia utangazajaji. Ametumikia jamii katika sekta mbali  mbali, lakini Ijuma hii kipindi cha kwanza msimu wa tano kitaruka saa 2.30 usiku na kipaumbele chake nikukufikia wewe mtazamaji. Kaa tayari Kwa muonekano mpya wa msimu mpya wa show ya "boys boys" ikiletwa kwenu na Daniel Kijo

Usikose!!
                             
Atakuwepo Godwin Gondwe, Bikira wa Kisukuma na Harmonize  wakijadili namna ya kupata mwanamke mwenye kipato zaidi yako.
Posted by MROKI On Wednesday, April 06, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo