Nafasi Ya Matangazo

March 13, 2016

 Anne Killango Malecela akitoa somo
Kampuni ya TBL Group mwishoni mwa wiki iliandaa kongamano la kuwajengea uwezo wa mbinu za mafanikio kwa wafanyaazi wanawake katika mikoa ya Arusha,Mbeya na Mwanza ambapowalipata kujifunza mbinu za mafanikio na jinsi ya kujiamini katika  kazi zao.

Wazungumzaji wakuu katika kongamano hilo  la TBL Women Forum walikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Kyela,Bi.Thea Ntara (Mbeya), Bi.Anne Malecela Killango (Arusha) na Jaji Joaquine De-Mello ambao walitumia elimu na uzoefu mkubwa walionao katika kazi kuwaelimisha wanawake wenzao mbinu za kupata mafanikio ambapo walisisitiza kufanya kazi kwa bidii na kwa ufanisi na kujiamini.
 Baadhi ya washiriki wa Forum wa  Arusha wakiwa na   Bi.Killango
 Baadhi ya washiriki wa Forum wa  Arusha wakiwa na   Bi.Killango
 Mkuu wa wilaya ya Kyela Bi.Ntara akitoa somo
 Wafanyakazi washiriki wa Mbeya wakiingia katila eneo la Forum
 Wanawake wa TBL Mbeya wakipata burudani na Mkuu wa wilaya
 Jaji De-Mello akiongea na wanawake wa TBL Group wa Mwanza
Baadhi ya washiriki wa TBL forum Mwanza wakiwa  kwenye picha ya pamoja
Posted by MROKI On Sunday, March 13, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo