Nafasi Ya Matangazo

February 04, 2016

Meneja Usafirishaji wa kampuni ya kiwanda cha bia cha TBL  Group cha Mbeya Bw. Norman Dhliwayo akitoa mada wakati wa semina kwa  maofisa wa ukaguzi wa magari kutoka Jeshi la Polisi nchini iliyofanyika kiwandani hapo.Semina hizo zilizoandaliwa na TBL Group kuhusiana na masuala ya usalama zinaendelea kutolewa katika mikoa mbalimbali.
Maofisa wa  polisi wanaohudhuria semina ya usalama iliyotayarishwa na kampuni ya TBL Group na kufanyika katika kiwanda cha bia cha Mbeya wakitembelea kiwanda  hicho kuona shughuli mbalimbali za uzalishaji  unaozingatia usalama sehemu ya kazi

Posted by MROKI On Thursday, February 04, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo