Nafasi Ya Matangazo

November 05, 2015

Mh. Edward Lowassa akimkaribisha mgeni wake, Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, TB Joshua, wakati alipomtembelea kwa mara nyingine nyumbani kwake, Masaki Jijini Dar es Salaam leo Novemba 4, 2015. 
Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, TB Joshua, akizungumza jambo na Mh. Edward Lowassa pamoja na viongozi wakuu wa UKAWA, Mh. Freeman Mbowe, Mh. James Mbatia na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru. Picha na Othman Michuzi
Posted by MROKI On Thursday, November 05, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo