Nafasi Ya Matangazo

September 03, 2015

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na mfuasi wa Ukawa wakati alipowasili katika mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi. 
Wafuasi wa Ukawa wakishangilia.
Mgombea ubunge wa Ukawa jimbo la Mtama, Suleiman Mathew kupitia Chadema akiwa amebebwa juu na wafuasi wake wakati akiingia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Sokoni mkoani Lindi, uliohutubiwa na mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji. 

Mfuasi wa Ukawa akishangilia wakati wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.(Picha na Francis Dande)
Soma zaidi >>>>>FK MATUKIO
Posted by MROKI On Thursday, September 03, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo