Nafasi Ya Matangazo

September 04, 2015

 Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suhlu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Mbezi Centre,  jimbo la Kibamba wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ua CCM, Mama Samia Suluhu, akiwasalimia wananchi, alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Vwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba, Dar es Salaam.
 Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia, akiwa tayari kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo Viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam,  Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na kushoto ni Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCm jimbo la Kibamba Dk. Fenela Mkangara. SOMA ZAIDI >>>>FK MATUKIO

Posted by MROKI On Friday, September 04, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo