Nafasi Ya Matangazo

September 04, 2015

Mgombea Mwenza wa Urais kwa timeti ya CCM, Mama Samia suluhu Hassam akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni aliofanya jana, Septemba 3, 2015 katika Kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam.
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia akishangiliwa na wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam, Septemba 3, 2015
Mgombea ubunge wa Temeke Abbas Mtemvu akiomba kura baada ya kunadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Buza katika jimbo hilo, septemba 3, 2015.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimwelekeza jambo mgombea Ubunge jimbo la Temeke Abass Mtemvu wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Buza katika jimbo hilo, septemba 3,2015.
Shamrashamra za wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni za mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM katika kata ya Buza jimbo la Temeke.
Posted by MROKI On Friday, September 04, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo