Nafasi Ya Matangazo

August 01, 2015

Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Tanzania Jane Foster akiwashukuru wadau mbalimbali ambao wamefanikisha mchakato mzima wa kuendesha shindano la Mama Shujaa wa Chakula, Pia Kipekee Amewashukuru wafanyakazi wa Oxfam akiwepo Eluka Kibona na Suhaila Thawer kwa kuwa Mstari wa mbele kufanikisha Shindano hili na Mwisho kuwatakia kila Laheri washiriki wote wanaokwenda katika kushindana kumpata Mama Shujaa wa Chakula.
 Washiriki wa Shindano la Mama shujaa wakiwa wanatambulishwa Tayari kuelekea Kisalawe Kijiji cha Kisanga kwa ajili ya kumsaka mshindi ambapo Programu mzima itaoneshwa katika Runinga ya ITV kila Siku kuanzia Tarehe 2.08.2015-21.08.2015 kuanzia saa 12 Jioni. SOMA ZAIDI HAPA
Posted by MROKI On Saturday, August 01, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo