Nafasi Ya Matangazo

August 31, 2015

Mwenyekiti wa Chama cha Walimu mkoa wa Arusha ,Mwalimu Jovin  Kuyenga akizungumza na waandishi wa habari jana Ofisini kwake  juu ya deni la shilingi bilioni 4 wanalodai  kwa serikali. kushoto ni Katibu wa Chama cha Walimu mkoa wa Arusha, Mwalimu Hassan Saidi.Picha na Mahmoud Ahmad.
Posted by MROKI On Monday, August 31, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo