Nafasi Ya Matangazo

August 31, 2015

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), David Mosha jana alivikutanisha vilabu vya michezo takribani 70 katika Bonanza la kukata na shoka lililo tikisa Mji wa Moshi kutoka Kata zote.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mjini, Novatus Makunga akizungumza na mashabiki na wapenzi mbalimbali wa michezo mjini Moshi.
 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mjini, Novatus Makunga akikabidhi jezi kwa baadhi ya timu zilizoshiriki bonanza hilo.

Davis Mosha akiwa na wapenzi wa michezo mjini Moshi.
Posted by MROKI On Monday, August 31, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo