Nafasi Ya Matangazo

July 28, 2015


Father Kidevu akiwa katika kituo cha Kuandikisha Wapiga Kura kwa mfumo wa kieletroniki  wa BVR katika daftari la Kudumu la Wapigakura kilichopo Shule ya Msingi bombambili, Kata ya Kivule, Wilaya ya Ilala  jijini Dar es Salaam leo ambapo alishuhudia umati mkuvbwa wa watu hasa wanawake wakiwa katika stari mrefu wa kusubiri kuandikishwa. Ipo haja Tume ya taifa ya uchaguzi kuongeza mashine katika kituo hicho ambacho kina mashine tatu na idadi kubwa ya watu inahitaji kuandikishwa.
 
Polisi wa FFU akiangalia wakazi wa Bombambili waliojkatika foleni ya kuandikishwa. Aidha walimu katika shule hiyo wanalalamika kutoka kufundisha vizuri kufuatia kelele za vurugu zinazoibuka marakwa mara katika kituo hicho.
Posted by MROKI On Tuesday, July 28, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo