Nafasi Ya Matangazo

July 30, 2015

Wakili Emmanuel Makene, anawaomba wanaCCM wote wa Jimbo la Kinondoni kumpigia kura ya maoni siku ya Jumamosi Tarehe 01 Agosti 2015 Kwa nafasi ya Ubunge. Comrade Makene ni mwaminifu, mchapakazi, hana kashfa yeyote na anakubalika ndani ya Chama na nje ya Chama. Kwenye karatasi ya kupigia kura jina la Ndugu Makene ni Namba 5.
Posted by MROKI On Thursday, July 30, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo