Nafasi Ya Matangazo

July 01, 2015

Ofisa Manunuzi wa Wizara ya Ujenzi, Shukuru Sikunjema akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Ujenzi, Melania Sangeu baada ya kuhitimu mafunzo ya tathmini, usimamizi na ukaguzi wa mazingira yaliyofanyika mkoani Morogoro jana.
Mkurugenzi wa Idara ya Tathmini ya Athari ya Mazingira kutoka Baraza la Taifa la kuhifadhi Mazingira (NEMC), Eng. Ignance Mchallo akielezea kuhusu Sheria ya Mazingira ya mwaka 2004 kwa mafundi sanifu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA.

Mafundi Sanifu wakifanya tathmini na ukaguzi wa mazingira katika karakana ya TEMESA mjini Morogoro wakati wakiwa katika mafunzo ya tathmini, usimamizi na ukaguzi wa mazingira.



Mgeni rasmi Bw. Melkizedeck Mlyapatali ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Ujenzi, Morogoro akiwa na wahitimu wa mafunzo ya tathmini, usimamizi na ukaguzi wa mazingira kwa mafundi sanifu wa TEMESA, kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania mjini Morogoro.
Posted by MROKI On Wednesday, July 01, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo