Nafasi Ya Matangazo

May 01, 2015

WAKATI leo jijini Dar es Salaam kunafanyika pati la ALL WHITE PARTY  iliyo andaliwa na Mwanadada Zari kutoka Uganda akishirikiana na Rafiki yake, Nassib Abdul 'Diamond' kule jijini Mwanza nako kesho mambo yatakuwa mambo kwa show kali ya ISTAGRAM PARTY.

INSTAGRAMPARTY itaongozwa na rafiki wa zamani wa Diamond, Wema Sepetu akiwa na Nyota wa Big Brother Afrika Idris Sultan ndani ya Jembe ni Jembe Club huko Mwanza.
Posted by MROKI On Friday, May 01, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo