Nafasi Ya Matangazo

May 30, 2015

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akihutubia wananvchi waliojitokeza katika uwanja wa michezo wa Shekhe Amri Abeid Jijini Arusha Mei 30, 2015 kutangaza nia ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kumteua kugombea urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakao fanyika baadae mwaka huu.
 Maelfu ya wananchi waliojitokeza kuunga mkono safari ya matumaini ya Edward Lowassa kuwania urais wa Tanzania wakiwa uwanjani hapo kumsikiliza.
 Haoo ni Machalii ya Lowassa...
 Yaani ilikuwa ni raha tu...
 Baadhi ya viongozi waliojitokeza kumuunga mkono Edward Lowassa katika safari ya matumaini.
 Wakongwe wa Chama cha Mapinduzi walikuwepo kumpa sapoti Edward Lowassa katika safari ya matumaini.
 Umati ulikuwa wa ukweliiii
 Mbwembwe za wana bodaboda zilikuwa kivutio kikubwa
 Mzee Kinginge Ngombare Mwiru akiingia uwanjani hapo.
 wageni wakisalimiana.

Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa.
Posted by MROKI On Saturday, May 30, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo