Nafasi Ya Matangazo

April 28, 2015

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika jirani na Super Market ya Nakumat.

Msatahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara .

Mbunge waMoshi mjini Philemoni Ndesamburo akimsikiliza Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi.(hayuko pichani) akiwa na viongozi wengine wa Chadema.

Baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo wakimsikiliza Ndesamburo.

Baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo wakimsikiliza Ndesamburo.


  
Posted by MROKI On Tuesday, April 28, 2015 5 comments

5 comments:

  1. Mwaka huu 2015 wakuu mtatusamehe tumechoshwa na ugumu wa maisha mliotusababishia mtafute biashara nyingine ya kufanya ,hii ya kupeana michongo ya utawala imefika mwisho

    ReplyDelete
  2. Sasa Ndesamburo unachekesha na kutusikitisha sana wewe mwenyewe umetufanyia nini ? hapa mjini,na ahuyo Meya si ndio uoza kabisa

    ReplyDelete
  3. Mzee Ndesamburo usiingize kwenye biashara ya kununua mbuzi kwa mrio,huyu Jafary hatumkubali hata mkitugawia pesa tutakula lakini msimamo wetu hupo pale pale mwaka 20115 tunahitaji mtu wa kawaida na sura mpya kabisa

    ReplyDelete
  4. mhe.Ndesapesa hii unayotuletea ni biashara ya kichaa,meya jafary michael kwetu ni jumba bovu,mwaka huu tunahitaji mtu mpya kabisa mwenye uchugu na sisi,tena maswala ya miavuli ya kichama msituletee hatutaki tunataka maendeleo mgombe atoke chama chochote kile kama sera zake nzuri na awe mwenzetu tunamchagua nyie tafuteni biashara ingine

    ReplyDelete
  5. hamtupati mwaka huu 2015 sio Moshi mjini mtafute la kufanya

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo