Nafasi Ya Matangazo

April 19, 2015

Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, akizungumza na watoto walemavu wenye albinism,walemavu wa macho na viziwi waliopo kwenye kituo cha kuwahifadhi cha Buhanginja Mkoani Shinyanga jana.
 Zitto Kabwe akimchukua mmoja wa watoto hao kuzungumza nae.
Mwalimu wa kituo cha Shule maalum kwa watoto walemavu wenye albinism, walemavu wa macho na viziwi waliopo kwenye kituo cha kuwahifadhi cha Buhanginja Mkoani Shinyanga, Peter Francis, akiwapa maelezo ya kituo hicho viongozi wa ACT-Wazalendo walipofanya ziara kwenye kituo hicho sehemu wanazo lala watoto.
Posted by MROKI On Sunday, April 19, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo