Nafasi Ya Matangazo

November 23, 2014

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka (kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania UN, Balozi Modest Mero na Mkewe Rose Mero katika banda la Tanzania katika maonesho hayo. Pichani ni viongozi hao wakijiandaa kula maanjumati yaliyoandaliwa na Chama cha akina mama wa Mabalozi  Geneva "United Nation Women Guild (UNWG) " 

Akina mama hao huandaa Bazar kila mwaka kwaajili ya kuchangisha fedha zinazopelekwa kusaidia miradi mbalimbali ya wanawake na watoto.
 Wasi













Posted by MROKI On Sunday, November 23, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo