Nafasi Ya Matangazo

November 27, 2014

 
Huyu ndie mchezaji mpya wa Yanga, Emerson de Oliveira Neves Roque aliyeletwa na kocha Mbrazili wa Marcio Maximo kufanyiwa majaribio ili azibe pengo la Jaja. Roque, kwa muji wa taarifa za mtandao wa Int.Soccerway.com hajacheza hata mechi moja katika timu yake ambayo imemsajili kama mlinzi lakini huku analetwa kujaribiwa nafasi ya kiungo. 

Timu anayochezea ya Bonsucesso FC inashika nafasi ya 13 na imeshinda michezo mitatu na kupoteza michezo 6 na kutoka suluhu michezo 6. 
Posted by MROKI On Thursday, November 27, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo