Nafasi Ya Matangazo

September 15, 2014

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Alli Keissy (kushoto) na Mjumbe kutoka Zanzibar Mohamed Raza wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wakielekea kuhudhuria kikao cha arobaini cha Bunge hilo.

Kwa mara nyingine tena yule Mbunge machachari mwenye vituko ambaye pia ni Mjumbe wa bunge maalum la Mabadiliko ya Katiba Mpya, Ally Keissy (;pichani juu kushoto) amezungumza mambo kadhaa kuhusiana na Muungano na kuharibu hali ya hewa ndani ya Bunge hilo la BMK jambo lililowafanya wajumbe kadhaa akiwepo Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda na Mjumbe Steven Wasira kutuliza jazba ya wajumbe. 
Posted by MROKI On Monday, September 15, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo