Nafasi Ya Matangazo

August 30, 2014

Biharusi mtarajiwa Sally Talike Chalamila akiwa katika pozi la picha wakati wa tafija maalum ya kutoa shukrani kwa ndugu jamaa na marafiki kabla ya kufunga ndoa wiki ijayo jijini Mwamza. Tafrija hiyo ilifanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam. 
Photography by: MD Digital Company; +255 755 373999, +255 717002303.
 Biharusi mtarajiwa Sally akiingia katika Ukumbi wa wazi wa Makumbusho ya Taifa akiwa ameongozana na mama yake Mary Chalamila.
 MC wa Shughuli hiyo akipiga dua zake...
 Bi Harusi mtarajiwa Sally Talike Chalamila akicheza mziki na wageni waalikwa mbalimbali wakati wa tafija maalum ya kutoa shukrani kwa ndugu jamaa na marafiki kabla ya kufunga ndoa wiki ijayo jijini Mwamza. Tafrija hiyo ilifanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam.
 Sally akikata keki tayari kwa kuwalisha wazazi.
 Wageni mbalimbali waalikwa wakiwa katika tafrija hiyo.
  Wageni mbalimbali waalikwa wakiwa katika tafrija hiyo.
Sally Talike Chalamila  na Mumewe mtarajiwa Sosthenes Elias Bagumhe ambao wanataraji kufunga ndoa yao Septemba 6 mwaka huu huko jijini Mwanza wakichukua chakula.
 

Sally Talike Chalamila  na Mumewe mtarajiwa Sosthenes Elias Bagumhe pamoja na wasimamizi  Emmanuel Tamila Makene  na Annastazia Rugaba Marondo wakipata chakula.

 Biharusi akiwa na mama mdogo katika picha ya pamoja na familia
 Picha ya pamoja na wafanyakazi wenzake.
 Picha na marafiki zake
 Burudani ilikuwa ni ya Live Band...
 Zulia jekundu lilikuwepo
Mwenyekiti wa kamati akicheza sambamba na biharusi mtarajiwa.
Posted by MROKI On Saturday, August 30, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo