Nafasi Ya Matangazo

August 27, 2014

Walemavu wa usikivu(viziwi) na walemavu wa usemaji(mabubu) wanategemea alama zao kufikisha au kupokea ujumbe fulani.

Alama za vidole ndiyo njia pekee ya wao kuwasiliana na kupata ujumbe kwa ufasaha.

Tunapotumia alama kinyume na maana yao halisi ni wazi tunawapotosha wenye ulemavu. Walemavu wanahitaji sana ufafanuzi mpya juu ya alama zao zilivyovamiwa na kubadili maana au tafsiri.

Tutumie sauti kufikisha ujumbe kwa wasio na ulemavu na alama tuwaachie wenyewe. Jifunze alama hizi ili uweze kuwasiliana vyema na ndugu zetu walemavu. Na Father Kidevu Blog.
Posted by MROKI On Wednesday, August 27, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo