Nafasi Ya Matangazo

July 23, 2014

Ujumbe kutoka Tanzania ukiongozwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (wa nne kushoto), ukiwa katika kiwanda cha kutengeneza vifaa vya umeme jua cha Canadian Solar katika jimbo la Ontario nchini Canada.Wengine katika picha ni Mkurugenzi Mwandamizi wa Canadian Solar, Brian Lu (wa tano kushoto), Mwenyekiti Kamati ya Bunge, Nishati na Madini, Mhe.Victor Mwambalaswa(Mb.) (wa tatu kushoto), Mhe.Shafin Sumar (Mb.), (wa pili kulia), Mhe.Richard Ndasa (Mb.) (wa tatu kulia), Mhe.Murtaza Mangungu (Mb.) (wa nne kulia), Bw.Ronald Drews, Mratibu wa Masuala ya Biashara kwa Tanzania (wa tano kulia) pamoja na wataalam kutoka Wizara ya Nishati na Madini na Canadian Solar.
Ujumbe kutoka Tanzania, ukiwa na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Canadian Solar Bw.Shawn Qu (wa sita kushoto), mara baada kutembelea kiwanda kinachotengeneza vifaa vya umeme jua kinachomilikiwa na kampuni hiyo,. Katika picha ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (wa saba kutoka kushoto), Mwenyekiti Kamati ya Bunge Nishati na Madini, Mhe Victor Mwambalaswa (wa tano kushoto), Mhe.Richard Ndasa (Mb.) (wa tano kulia), Bw.Ronald Drews, Mratibu wa Masuala ya Biashara kwa Tanzania (wa nne kushoto), Paul Makelele (Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Canada), (wa nne kulia) pamoja na wataalam kutoka Canadian Solar na Wizara ya Nishati na Madini.
Posted by MROKI On Wednesday, July 23, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo