Nafasi Ya Matangazo

July 20, 2014

Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwan Kikwete ambaye pia ni Mlezi wa CCM Wilaya ya Mafia, amefanya ziara ya siku moja ya kutembelea Wilaya hiyo na kukutana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na kukagua ujenzi wa ofisi ya kisasa ya Chama hicho. Kikwete pia alikagua gati ambalo halijaanza kutumika kutokana na kukosekana kwa Boya elea kupokele abiria.
 
Jengo la CCM Wilaya ya Mafia.

Kikwete akipiga picha na viongozi wa CCM Wilaya ya Mafia na Mbunge wa Mafia.
Akiwa eneo la Gati
Posted by MROKI On Sunday, July 20, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo